Kijana akiwasilisha C.V baada yakupata mafunzo

Kijana aliesimama mbele akiwasilisha kazi iliyoandaliwa na kikundi chake wakati wa mafunzo juu ya kuwakabili Waajiri, mafunzo hayo ambayo yamefadhiliwa na ADB kupitia mradi wa Elimu Mbadala na Mafunzo ya Amali Awamu ya pili ambao unasimamiwa na Wizara ya Elimu Zanzibar.