Vijana Kutoka Wilaya ya Magharibi B Wakifuatilia Mafunzo yaliyotolewa na Idara ya Ajira Zanzibar

Mafunzo hayo yalitolewa katia Ukumbi wa IRCH Kidongo Chekundu Zanzibar, Mafunzo hayo yalikuwa yanalenga katika kuwajengea uwezo wa kukabiliana na Usaili na kuufahamu mfumo wa Taarifa za Soko la Ajira.