Mkurugenzi Idara ya Ajira Zanzibar ndugu Ameir A. Ameir katika tukio la kuwajengea uwezo Vijana (SPEED DATING)

Mkurugenzi Idara ya Ajira Zanzibar Ndugu Ameir A. Ameir akizungumza na Vijana waliopata bahati ya kukutanishwa na Waajiri mbali mbali ikiwa ni moja wapo wa njia ya kuwajengea uwezo vijana watafuta kazi na kuwatoa hofu wakati wa kukabiliana na usaili,