Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Ndugu Maudline Cyrus Castico

Mheshimiwa (aliesimama) Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Ndugu Maudline Cyrus Castico akizungumza na Baadhi ya Watendaji wake Wakuu wa Wizara katika Ukumbi wa Wizara hiyo huko Mwanakwerekwe Zanzibar.