Picha ya Pamoja katika Uzinduzi wa Mfumo wa Taarifa za Ajira Zanzibar

Aliekua  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman wa nne kutoka kushoto mara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Taarifa za Soko la Ajira Zanzibar. Mfumo huo umezinduliwa Tarehe 14/07/2015 sawa na mwezi 26 Ramadhan katika Jengo la kituo cha Idara ya Ajira kiliopo mMwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi Unguja